Dkt. Samia: Tunaboresha Usafiri wa Anga Kuongeza Fursa za Utalii Arusha – Video
Wakazi wa Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha, leo Ijumaa Oktoba 3, 2025 wamejitokeza kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika muendelezo wa kampeni za…
FIFA Yazindua Mpira Mpya “Trionda” kwa Kombe la Dunia 2026
Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, limezindua rasmi mpira wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026 unaojulikana kama “Trionda”, mpira wenye teknolojia ya kisasa itakayosaidia wachezaji, washabiki na VAR (Video Assistant Referee).
Jina…
“Sweety” Ya Nandy na Jux Yazua Gumzo Mitandaoni – Video
Staa wa muziki wa Bongofleva Nandy kwa kushirikiana na Juma Jux wameachia rasmi video ya wimbo wao mpya “Sweety”, ambao kwa sasa unazua gumzo kubwa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari vya burudani.
Video hiyo iliyotoka kupitia…
Sherehe ya 40 Ya Mtoto wa Jux na Priscilla Yazua Gumzo Mitandaoni
Msanii nyota wa RnB Juma Jux na mke wake mrembo Priscilla wameweka kumbukumbu nyingine ya kipekee baada ya kufanya sherehe ya 40 ya mtoto wao kwa bashasha na mvuto wa hali ya juu.
Sherehe hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam…
Nafasi Za Kazi Za Mkataba Halmashauri Ya Wilaya Ya Mlimba
Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba inatangaza nafasi za kazi za mkataa (contract) kwa idara mbalimbali. Wote wanaopenda wanakaribishwa kuomba nafasi hizi kwa kusoma vigezo na masharti yafuatayo:
Ajali ya Moto Kibaha: Watoto Watatu Wafariki Dunia
Watoto watatu wamefariki dunia baada ya nyumba ya ghorofa moja kuteketea kwa moto katika Mtaa wa Kitende, Kwa Mfipa, Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Tukio hilo lilitokea majira ya saa 10:00 alasiri katika nyumba inayomilikiwa na…
Sean ‘Diddy’ Combs Aomba Huruma ya Jaji Kabla ya Hukumu
Sean 'Diddy' Combs amemuandikia barua ya kuomba huruma Jaji Arun Subramanian aliyesimamia kesi yake, siku moja kabla ya kuhukumiwa, baada ya kupatikana na hatia mwezi Julai kwa makosa mawili ya kusafirisha watu kwa ajili ya kushiriki…
Leo Ni Siku ya Mashujaa: Odds Kali na Burudani za Michezo
Mambo yanazidi kushika kasi barani Ulaya. Na leo mashabiki wa soka wanatarajia burudani ya hali ya juu kutoka kwa ligi tano maarufu. Mechi hizi ni kubwa na zimesheheni mvuto na burudani ya kipekee kwa wapenda soka wote. Vilevile,…
Dkt. Samia Aahidi Kuimarisha Utalii na Michezo Arusha
Arusha, Oktoba 2, 2025 – Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaambia maelfu ya wananchi wa Arusha Mjini kuwa endapo atapewa ridhaa ya kuongoza kwa…
Israel Yamkamata Mjukuu Wa Mandela, Ramaphosa Atoa Mwito Wa Kuachiliwa Mara Moja
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, ameitaka Israel kuwaachia mara moja wanaharakati wa Afrika Kusini waliokamatwa na jeshi la majini la Israel baada ya kuizuia "Global Sumud Flotilla", msafara wa meli uliokuwa ukielekea Gaza kwa…