CHADEMA Yalalamikia Kufungiwa Namba ya Michango ya Brenda Rupia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa kuwa namba ya simu ya Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia, iliyokuwa ikitumika kupokea michango kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa…
Mkutano Wa Wazee Kuimarisha Haki Umoja Na Amani Kwa Watanzania Yatoka Na Maadhimio Haya
Wito umetolewa kwa Watanzania Kuwajibika na kuwawajibisha wasiowajibika kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Kanuni ziongozazo.ili Kuweka maslahi ya Taifa juu ya Ubinafsi, Vyama wala Makundi yoyote. Kushirikiana kwa umoja katika kutatua…
Waziri Mkuu Asisitiza Huduma Zote za Serikali Kutolewa Dodoma
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali inataka kazi zote zifanyike makao makuu ya nchi ili kusogeza huduma karibu na Wananchi.
Amesema hayo leo Alhamisi (Januari 22, 2026) alipotembelea Ofisi za Wizara ya Maji na…
TAKUKURU Yawatafuta Alex Msama na Benny Mwita kwa Tuhuma za Uhujumu Uchumi – Video
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawatafuta Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh kwa tuhuma za uhujumu uchumi ikiwemo kughushi nyaraka, udanganyifu na utakatishaji fedha katika Shauri Na. 1371/2026…
Ligi Kuu Bara Yashika Nafasi ya 6 Afrika, Yapanda hadi Nafasi ya 54 Duniani
Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara imeendelea kuimarika kimataifa baada ya kushika nafasi ya sita (6) kwa ubora barani Afrika na nafasi ya 54 duniani, kwa mujibu wa takwimu rasmi zilizotangazwa juma hili.
Licha ya kushuka kwa nafasi mbili…
Israel Yaua Waandishi wa Habari Gaza – Video
Waandishi watatu wa habari wa Kipalestina wameuawa kufuatia shambulio la anga la Israel katikati mwa Ukanda wa Gaza, kwa mujibu wa wahudumu wa uokoaji.
Shirika la Ulinzi wa Raia la Gaza, linaloendeshwa na Hamas, lilisema gari…
TRA na Sudan Kusini Kuanzisha Ushirikiano Wa Pamoja Kudhibiti Mianya ya Ukwepaji Kodi
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Mapato Sudan Kusini (SSRA) zinatarajia kuanzisha ushirikiano katika masuala mbalimbali ya kodi ikiwemo kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi baina ya mamlaka hizo mbili.
Hayo yamebainishwa…
Maelfu ya Wananchi Ikungi Mashariki Wakusanyika Kumpokea Kenani Kihongosi
Maelfu ya wananchi wa Ikungi Mashariki, hususan katika eneo la Puma, wamejitokeza kwa wingi leo kumpokea Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, kabla ya kuzungumza nao katika mkutano…
Europa League/Conference: Mashindano Yamefikia Kiwango Kikubwa
Pesa iko nje nje leo hii kwenye mechi za Europa ndani ya Meridianbet kwani kila kitu unachotaka kipo hapa kuanzia Odds kubwa, machaguo zaidi ya 1000. Jisajili sasa na uanze safari yako ya ushindi.
Viktoria Plzen atakuwa uso kwa uso…
Trump Afungua Njia ya Makubaliano Kuhusu Greenland
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa serikali yake inachunguza uwezekano wa kufikia makubaliano kuhusu Greenland, kufuatia mazungumzo aliyofanya na viongozi wa Jumuiya ya Kujihami ya Atlantiki ya Kaskazini (NATO).
Kupitia…
